Home LOCAL RAIS SAMIA AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU IDARA YA USALAMA WA TAIFA IKULU JIJINI...

RAIS SAMIA AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU IDARA YA USALAMA WA TAIFA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here