Home LOCAL RAIS SAMIA AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU IDARA YA USALAMA WA TAIFA IKULU JIJINI...

RAIS SAMIA AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU IDARA YA USALAMA WA TAIFA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2023.

Previous articleMKURUGENZI MANISPAA TABORA ELIAS KAYANDABILA ACHAGULIWA KATIBU WA ALAT MKOA WA TABORA
Next articleTCAA WASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2023/24
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here