Home BUSINESS TCAA WASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2023/24

TCAA WASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2023/24

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Bw. Gabriel Migire (kushoto) akisaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA) Hamza Johari, Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), Hamza Johari akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw Gabriel Migire wakati wa utiaji saini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24, Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), Hamza Johari (kulia waliokaa) pamoja na watumishi wa sekta ya Uchukuzi, mara baada ya kusaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Bw. Gabriel Migire (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA) Hamza Johari, mara baada ya kusaini mkataba wa kiutendaji kwa mwaka 2023/24, Jijini Dodoma

Previous articleRAIS SAMIA AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU IDARA YA USALAMA WA TAIFA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Next articleKATIBU MKUU DKT. JINGU AKUTANA NA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here