Home LOCAL RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA TAARIFA YA OFISI YA MAKAMU...

RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA TAARIFA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea kitabu cha Mpango Kabambe wa Taifa wa Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (2022-2032) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023. Mpango Kabambe huo umeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga wakati alipowasilisha taarifa ya shughuli zinazofanywa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga mara baada ya kuwasilisha taarifa ya shughuli zinazofanywa na Ofisi hiyo, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.

Previous articleMWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI KIJIJI CHA INYARA GEITA
Next articleBENKI YA CRDB YAMTANGAZA MSHINDI WA TATU WA TOYOTA CROWN KATKA KAMPENI YA BENKI NI SIMBANKING
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here