Home LOCAL WAUGUZI WA JKCI WATOA HUDUMA ZA UPIMAJI NA ELIMU YA MAGONJWA YA...

WAUGUZI WA JKCI WATOA HUDUMA ZA UPIMAJI NA ELIMU YA MAGONJWA YA MOYO DODOMA

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Rehema Bakari akimpima  mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo shinikizo la damu wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi  na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adam Ndamayape akimweleza mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo kuhusu ugonjwa wa shinikizo la juu la damu  wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi  na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akitoa elimu ya dalili za shambulio la moyo pamoja na madhara yake kwa wanafunzi wa Uuguzi kutoka Chuo Kikuu cha St. John kilichopo jijini Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini humo.

Wananchi waliofika katika Banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakipata huduma za upimaji na elimu ya magonjwa ya moyo wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi  na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

Picha na JKCI

 

Previous articleWAZIRI MKUU ATOA MKONO WA POLE KWA KATIBU MKUU JIM YONAZI KWA KUFIWA NA MDOGO WAKE
Next articleTAKRIBANI WATANZANIA 620,000 WANA ULEMAVU WA KUTOONA NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here