Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Lindi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Ilulu Mkoani humo tarehe 01 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainabu Telack kwenye Maadhimisho ya  Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika kwenye uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi tarehe 01 Desemba, 2022.

Previous articleSHIRIKA LA TANZANIA HEALTH SUPPORT LASAJILI WATU 800 WANAOJIDUNGA DAWA ZA KULEVYA NCHINI KUWAPA ELIMU YA DAWA ZA KULEVYA
Next articleKAMPENI YA KUPINGA VITENDO VYA UKATILI YA MGODI WA BARRICK BULYANHULU YAWAFIKIA WANAFUNZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here