Home BUSINESS MTENDAJI MKUU BRELA ATETA NA MKURUGENZI WA MILKI BUNIFU AFRIKA (ARIPO)...

MTENDAJI MKUU BRELA ATETA NA MKURUGENZI WA MILKI BUNIFU AFRIKA (ARIPO) JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Miliki Ubunifu Kanda ya Afrika (ARIPO) Bw. Bemanya Twebaze  kutoka Harare Zimbabwe, akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa mara alipowasili katika ofisi za BRELA mapema leo tarehe 01 Novemba, 2022 jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here