Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA WILAYA YA KIBONDO MKOANI KIGOMA 

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA WILAYA YA KIBONDO MKOANI KIGOMA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilayani humo tarehe 16 Oktoba, 2022.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Wilaya ya Kibondo wakiwa kwenye uwanja wa mkutano kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia tarehe 16 Oktoba, 2022.

Wasanii wa Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma wakitoa Burudani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.

Previous articleRAIS SAMIA AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO 
Next articleMAFUNZO KWA VITENDO KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO YAFANYIKA MOROGORO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here