Home BUSINESS MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI STAMICO ATEMBELEA BANDA LA TEITI MAONESHO YA...

MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI STAMICO ATEMBELEA BANDA LA TEITI MAONESHO YA MADINI GEITA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Lucas Selelii wakipata maelezo Kutoka Kwa Afisa Msimamizi wa Fedha wa Taasisi ya Uhamasishaji, Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali madini, Mafuta na Gesi asilia (TEITI) Erick Ketagory wakati walipotembelea Katika Banda la taasisi hiyo kwenye maonesho ya 5 ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Katika Viwanja EPZ Bombambili mkoani Geita.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Lucas Selelii wakipata maelezo kuhusu machapisho yanye malengo ya TEITI Kutoka Kwa Afisa Msimamizi wa Fedha wa Taasisi ya Uhamasishaji, Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali madini, Mafuta na Gesi asilia (TEITI) Erick Ketagory wakati walipotembelea Katika Banda la taasisi hiyo kwenye maonesho ya 5 ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Katika Viwanja EPZ Bombambili mkoani Geita.

Afisa Msimamizi wa Fedha wa Taasisi ya Uhamasishaji, Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali madini, Mafuta na Gesi asilia (TEITI) Erick Ketagory  afisa habari wa Taasisi hiyo Godwin Masabala  wakiwa Katika banda lao Kwa ajili ya kutoa elimu Kwa wananchi kuhusu majukumu ya taasisi hiyo.