Home BUSINESS WAZIRI DKT.BITEKO AWATEMBELEA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUTOKA UGANDA MAONESHO YA MADINI GEITA

WAZIRI DKT.BITEKO AWATEMBELEA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUTOKA UGANDA MAONESHO YA MADINI GEITA

Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko akizungumza na wakina Mama wajasiriamali kutoka Uganda wanaoshiririki katika Maonesho ya tano ya Madini Mkoani Geita alipowatembelea kuona bidhaa zao katika Banda lao kwenye siku ya kufungua rasmi maonesho hayo Octoba 4,2022. 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Wajasiriamali kutoka nchi ya Uganda wakionesha Bidhaa zao walizokwenda nazo katika maonesho ya Madini Geita. (katikati), ni kiongozi wa Banda hilo Magreth Banabona, (kushoto) ni, Sauda Makanjala, na (kulia) ni,Lanyero Prisca Tolara.