Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU MKOANI GEITA 

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU MKOANI GEITA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko kama ishara ya kufungua Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu kilichopo Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kama ishara ya kufungua Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu kilichopo Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua kazi mbalimbali zinazofanyika kwenye Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Previous articleMTAYARISHAJI NGULI WA MUZIKI KUTOKA NIGERIA MASTERKRAFTS KUJA NA EP
Next articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA GEITA KWENYE MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KWENYE UWANJA WA KALANGALALA 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here