Home ENTERTAINMENTS MTAYARISHAJI NGULI WA MUZIKI KUTOKA NIGERIA MASTERKRAFTS KUJA NA EP

MTAYARISHAJI NGULI WA MUZIKI KUTOKA NIGERIA MASTERKRAFTS KUJA NA EP

Sunday Ginikachukwu Nweke maarufu kwa jina la Masterkraft mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria ambaye amefanikiwa kufanya kazi na wasanii mbalimbali kutoka nchini Nigeria akiwemo Mr Flavour, Davido ,Tekno, Phyno na wengine wengi yuko mbioni kuachia kazi yake mpya rasmi
Mbali na kuwa mtayarishaji wa Muziki Masterkraft ni mwandishi wa nyimbo ,muongozaji wa bendi pamoja na mwimbaji.

Masterkraft 

Previous articleMEYA KUMBILAMOTO AWAONGOZA WANANCHI SEGEREA KUMUENZI BABA WA TAIFA
Next articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU MKOANI GEITA 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here