Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA GEITA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA GEITA KWENYE MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KWENYE UWANJA WA KALANGALALA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi wa Mkoa wa Geita kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kalangalala mkoani humo tarehe 15 Oktoba, 2022.

Sehemu ya Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Geita wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akihutubia katika uwanja wa Kalangalala mkoani humo tarehe 15 Oktoba, 2022.

Previous articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU MKOANI GEITA 
Next articleDR. NDUNGILE AONGOZA MAHAFALI YA SITA SHULE YA MSINGI LITTLE TREASURES SHINYANGA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here