Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU MKOANI GEITA 

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU MKOANI GEITA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko kama ishara ya kufungua Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu kilichopo Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kama ishara ya kufungua Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu kilichopo Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua kazi mbalimbali zinazofanyika kwenye Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here