Home BUSINESS MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI STAMICO ATEMBELEA BANDA LA BUCKREEF MAONESHO YA...

MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI STAMICO ATEMBELEA BANDA LA BUCKREEF MAONESHO YA MADINI GEITA

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Backreef Gold Company Bw Mhandisi Gaston Mjwahuzi akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo wakati alipotembelea katika banda la Backreef Gold Company katika Maonesho ya Madini Geita.

Makamu wa rais na Mkurugenzi wa Kampuni ya TRX GoldTanzania LTD Bw. Khalaf Rashid (kushoto) akizungumzia uhusiano kati ya kampuni hiyo na STAMICO ambaye ni mbia mwenza katika uendeshaji wa Mgodi wa Buckreef. (kulia) ni, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Dkt. Venance Mwase akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael.

Previous articleTCU YAFUNGUA DIRISHA LA NNE LA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023
Next articleRAIS SAMIA AWAAPISHA MAWAZIRI ALIOWATEUA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here