Home LOCAL RAIS SAMIA AWAAPISHA MAWAZIRI ALIOWATEUA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AWAAPISHA MAWAZIRI ALIOWATEUA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Angellah Jasmine Kairuki kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Waziri wa TAMISEMI Mhe. Angellah Jasmine Kairuki, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax wakiapa Kiapo cha Maadili Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam

Previous articleMWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI STAMICO ATEMBELEA BANDA LA BUCKREEF MAONESHO YA MADINI GEITA
Next articleMAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA) YAWAHAKIKISHIA WADAU WA SEKTA YA MADINI HUDUMA BORA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here