Home LOCAL RAIS SAMIA AHANI MSIBA WA MTOTO WA MZEE MWINYI CHUKWANI ZANZIBAR

RAIS SAMIA AHANI MSIBA WA MTOTO WA MZEE MWINYI CHUKWANI ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi kufuatia kifo cha mtoto wake Hassan Ali Mwinyi mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Chukwani mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhani msiba tarehe 01 Septemba, 2022.

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais wa Zanzibar mara baada ya kuhani msiba nyumbani kwa Marehemu Chukwani mjini Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mama Siti Mwinyi baada ya kuhani msiba wa mtoto wa Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi nyumbani kwa Marehemu Chukwani mjini Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2022.

Previous articleWATOTO 263,990 WANATARAJIA KUPATA CHANJO YA POLIO MKOANI PWANI-DKT.GUNINI
Next articleRAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA CUBA NCHINI TANZANIA IKULU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here