Home LOCAL MWENEKITI TEF ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA MALIKIA ELIZABETH II

MWENEKITI TEF ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA MALIKIA ELIZABETH II

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akitia saini kwenye kitabu cha maombolezo ya kifo cha Malkia Elizabeth II katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam leo.
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar 9mwenye shati jeupe) baada ya kutia Saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Malkia Elizabeth II katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza, jijini Dar es Salaam.

Previous articleTCU YAFUNGUA DIRISHA LA UDAHILI AWAMU YA TATU MWAKA WA MASOMO 2022/2023
Next articleGLOBAL FUND YAUNGA MKONO SERIKALI  KUKABILIANA NA MAGONJWA NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here