Home BUSINESS “SULUHISHA NA BRELA” YAZIDI KUWAIBUA WAMILIKI WA KAMPUNI

“SULUHISHA NA BRELA” YAZIDI KUWAIBUA WAMILIKI WA KAMPUNI


Maafisa kutoka wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wakiendelea kusikiliza, kutoa  ushauri na kutatua migogoro ya wamiliki wa kampuni mbalimbali wanaojitokeza kwa wingi katika wiki ya Suluhisha na BRELA, inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, mtaa wa Shaaban Robert, mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha( IFM), Jijini Dar es salaam. Huduma hii itaendelea hadi tarehe 19 Juni, 2022

Previous articleRAIS DKT.MWINYI AZUNGUMZA NA WAFADHILI WA UJENZI WA KITUO CHA MATIBABU YA MOYO ZANZIBAR.
Next articleKATIBU MUHTASI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA UFUJAJI, UBADHIRIFU.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here