Home LOCAL DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM...

DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

 

   
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi – Zanzibar DK. ALI MOHAMED SHEIN ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa Mujibu wa Kalenda ya Vikao Ya CCM.

 

 Kikao hicho Kimehudhuliwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi , Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,  Pamoja na Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi hapo katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar

Previous articleRAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WANAWAKE AMBAO NI WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI NCHNI OMAN
Next articleRAIS DKT.MWINYI AZUNGUMZA NA WAFADHILI WA UJENZI WA KITUO CHA MATIBABU YA MOYO ZANZIBAR.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here