Home LOCAL MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU ZUHURA YUNUS AFANYA MAZUNGUMZO NA...

MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU ZUHURA YUNUS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAANDISHI WA HABARI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Bi. Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na Mafanikio ya Ziara Rasmi ya Kiserikali iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman hivi karibuni. Mkutano huo na Waandishi umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Juni, 2022.

Waziri wa Nishati Mhe. Januari Makamba akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na Mafanikio ya Ziara Rasmi ya Kiserikali iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman hivi karibuni.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na Mafanikio ya Ziara Rasmi ya Kiserikali iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman hivi karibuni.

Katibu Mkuu wa wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na Mafanikio ya Ziara Rasmi ya Kiserikali iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman hivi karibuni.

Previous articleRAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI KATIKA TAASISI MBALIMBALI
Next articleSIMAMIENI VIZURI FEDHA ZA HALMASHAURI-MAJALIWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here