Home LOCAL MAJALIWA AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

MAJALIWA AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwa Wabunge  iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni  jijini Dodoma, Mei 30,2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 
 

Baadhi ya washiriki wa Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwa Wabunge wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Semina hiyo kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Mei 30,2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).