Home LOCAL MAJALIWA AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

MAJALIWA AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwa Wabunge  iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni  jijini Dodoma, Mei 30,2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 
 

Baadhi ya washiriki wa Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwa Wabunge wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Semina hiyo kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Mei 30,2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Previous articleKATIBU MKUU CHONGOLO AELEKEZA VIONGOZI WOTE KUSHIRIKI VIKAO VYA MASHINA
Next articleCHONGOLO AKIWA KWENYE ZIARA YAKE KISHAPU MKOANI SHINYANGA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here