Home LOCAL WANAFUNZI WA SHULE YA HEAVEN OF PEACE ACADEMY YA JIJINI DAR ES...

WANAFUNZI WA SHULE YA HEAVEN OF PEACE ACADEMY YA JIJINI DAR ES SALAAM WATEMBELEA JKCI KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAGONJWA YA MOYO

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Pedro Pallangyo akiwaelezea huduma zinazotolewa na Taasisi hiyo wanafunzi kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es salaam waliotembelea JKCI kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.


Mkuu wa Idara ya Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Salma Wibonela akiwafundisha taratibu za kuzuia na kujikinga na maambukizi wanafunzi kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es Salaam wakati waliotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.


Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Pedro Pallangyo akiwaonesha baadhi ya mashine zilizofungwa katika chumba cha kulaza wagonjwa mashuhuri (VIP Ward) jinsi zinavyofanya kazi wanafunzi kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es Salaam waliotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.


Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Pedro Pallangyo akiwaonesha wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanafunzi kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es Salaam waliotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es Salaam waliotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.

Picha na JKCI

Previous articleDKT.BITEKO: ATAKA MADINI KUONGEZA AMANI UKANDA MAZIWA MAKUU
Next articleRAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA KILIMO DODOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here