Home SPORTS TANZANIA YATINGA FAINALI SOKA LA UFUKWENI

TANZANIA YATINGA FAINALI SOKA LA UFUKWENI

 

Na:Stella Kessy

TIMU ya  soka la ufukweni  leo imetinga katika hatua ya fainali dhidi ya Msumbiji katika mashindano ya COSAFA yanayofanyika Durban, Afrika Kusini.

Tanzania imetinga hatua hiyo ya fainali baada ya kuichapa Angola bao 5-2 ,huku kila timu ikitamani  kuibuka na ushindi dhidi ya mpinzani wake, huku mchezaji bora katika mechi hiyo ameibuka toka Tanzania ambaye  Stephano Waile.

Katika mchezo mwingine ulikuwa katika ya Comoro iliibuka na ushindi wa bao 8-6 dhidi ya  Seychelles, Msumbiji iliibuka kidedea dhidi ya wenyeji Afrika Kusini kwa ushindi wa bao 5-3. 






 

Previous articleWANAWAKE WAJASIRIAMALI WAHIMIZWA KURASIMISHA BIASHARA ZAO
Next articleSIMBA TIMU KUBWA, USHINDI LAZIMA: PABLO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here