Home LOCAL WAJUMBE KAMATI YA BUNGE YA PIC WAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA MSAJILI...

WAJUMBE KAMATI YA BUNGE YA PIC WAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA MSAJILI WA HAZINA

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Dkt. Oscar Kikoyo akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea, kuchambua na kujadili taarifa ya msajili wa hazina kuhusu uwekezaji katika mamlaka ya udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge leo Agosti 16, 2021 Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Kamati wa kamati hiyo, Bi. Amina Salumu

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea, kuchambua na kujadili taarifa ya msajili wa hazina kuhusu uwekezaji katika mamlaka ya udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge leo Agosti 16, 2021 Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleRAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI TANZANIA.
Next articleWAZIRI MKENDA ATUA BABATI//AITAKA NFRA KUFANYIA KAZI CHANGAMOTO KABLA YA KUKABIDHIWA MRADI WA VIHENGE VYA KISASA NA MAGHALA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here