Home LOCAL RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI TANZANIA.

RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI TANZANIA.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini,[Picha na Ikulu] 16/08/2021. 

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga akiwa amemaliza muda wake wa Kazi Nchini,[Picha na Ikulu] 16/08/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini,[Picha na Ikulu] 16/08/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Ali Al Mahrooq (katikati) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini akiwa na Balozi Mdogo wa Oman hapa Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi (kushoto),[Picha na Ikulu] 16/08/2021.

Previous articleRAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONDOKA NCHINI KUELEKEA MALAWI
Next articleWAJUMBE KAMATI YA BUNGE YA PIC WAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA MSAJILI WA HAZINA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here