Home SPORTS TANZANIA YATWAA UBINGWA CECAFA U23

TANZANIA YATWAA UBINGWA CECAFA U23

 

 

Timu ya Taifa ya Tanzania Vijana wenye umri chini ya miaka 23 wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya CECAFA Challenge CUP kwa kuifunga timu ya taifa ya Burundi kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mechi hiyo kuisha kwa 0-0 ndani ya dakika 90.

Fainali hiyo ambayo ilipigwa katika dimba la Bahir Dar nchini Ethiopia tulishuhudia timu zote zikihitaji ushindi ndani ya dakika 90 bila mafanikio.

Tanzania iliingia fainali baada ya kuichapa timu ya Taifa ya Sudani Kusini bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali akati Burundi alipata nafasi ya kuingia fainali baada ya kumfunga Kenya.

Previous articleTAMKO LA THBUB WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPINGA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU DUNIANI
Next articleTCRA KANDA YA ZIWA YAKABIDHI LESENI KITUO KIPYA CHA REDIO CHA GOLD FM KAHAMA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here