Home LOCAL HABARI PICHA: ELIMU YA MATUMIZI YA TUMBAKU YAVUTIA WATU WENGI BANDA LA...

HABARI PICHA: ELIMU YA MATUMIZI YA TUMBAKU YAVUTIA WATU WENGI BANDA LA TMDA SABASABA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Adam Fimbo (wa pili kulia) akizungumza na wananchi waliofika kwenye Banda la Taasisi hiyo kufahamu shughuli wanazozifanya. (wa kwanza kushoto) ni Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Umma kutoka TMDA Bi. Gaudensia Simwanza (kushoto).
 

Meneja wa Mawasiliano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)Gaudensia Simwanza (kushoto) akitoa Elimu juu ya madhara yatokanayo na ufutaji wa tumbaku kwa mwananchi aliyetembelea Banda lao kwenye maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.
Afisa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja TMDA Edward Bora (kushoto) akizungumza na Mama aliyefika kwenye Banda la Taasisi hiyo juu ya huduma mbalimbali wanazozitoa.
Maafisa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja wa TMDA Edward Bora (kushoto) na mwenzake wakifuatilia taarifa mbalimbali.

Previous articleMISS IFM KUCHUANA KESHO J.MOSI JULAI 10-2021
Next articleWAREMBO WA MISS TANZANIA WAKABIDHI MAKTABA YA WATOTO WANAOSUMBULIWA NA MARADHI YA MOYO NA SARATANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here