HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO MAY 14 _2025.
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO MAY 14 2025.
SERIKALI INAITHAMINI SEKTA BINAFSI – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazofanya kazi kwa karibu sana na sekta binafsi ili kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumatatu, Mei 12, 2025) wakati akishiriki mjadala uliojumuisha mawaziri wakuu wanne kutoka Tanzania, Ivory Coast, Guinea na Cameroun katika moja ya vikao vya jukwaa la siku mbili la...
MSAJILI HAZINA: NI WAKATI WA TANZANIA KUNADI FURSA ZA UWEKEZAJI KIMATAIFA
Abidjan, Ivory Coast Katika jukwaa kubwa la viongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, maarufu kama Africa CEO Forum, Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama taifa linalochomoza kwa kasi kiuchumi na kuvutia uwekezaji wa kimataifa. Mkutano huo wa siku mbili ulioanza Jumatatu, May 12, 2025, na kuhudhuriwa na zaidi ya wawekezaji 2,000, uligeuka kuwa jukwaa muhimu kwa Tanzania kuonyesha mafanikio yake, mikakati ya...
MHE.DKT SAMIA AKISHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti ya Picha aliposhiriki ibada ya Mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. David Cleopa Msuya, ibada iliyofanyika Kanisa la KKKT Usharika wa Usangi Kivindu Dayosisi ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo Mei 13,2025. http://MHE.DKT SAMIA ALIPOSHIRIKI IBADA...
BUNGE LAPITISHA KWA KISHINDO BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA TRILIONI 2.4
Kwa kauli moja leo tarehe 13 Mei 2025 Bunge la Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026 yenye jumla ya shilingi Trilioni 2.439. Bajeti hiyo imepitishwa kwa asilimia 100 na wabunge ili kuwezesha utekelezaji wa malengo yaliyoanishwa kwa mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na...
MHANDISI SAMAMBA AWATAKA WATENDAJI TUME YA MADINI KUENDELEA KUONGEZA UBUNIFU KATIKA SEKTA YA MADINI
_Akabidhi vitendea kazi kwa Makamishna Wapya_ *DODOMA* Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuongeza ubunifu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini hasa katika kuongeza ushiriki wa watanzania katika Sekta ya Madini kupitia shughuli za utafiti, uchimbaji, uchenjuaji na biashara ya madini sambamba na utoaji wa huduma kwenye shughuli za uchimbaji wa...