TANZANIA, MOROCCO KUONGEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

0

Matumizi ya teknolojia kupewa kipaumbele Sekta ya Nishati Morocco wampongeza Rais Samia kwa usimamizi bora Sekta ya Nishati Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Morocco wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini. Hayo yamebainishwa na...

NAIBU KATIBU MKUU AENDESHA KIKAO KAZI KATI YA SERIKALI NA UMOJA WA ULAYA.

0

Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya Na OR – TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu (ELIMU) Ofisi ya Rais TAMISEMI, Atupele Mwambene akimwakilisha Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Adolf Ndunguru kama Mwenyekiti wa Kamati Tendaji, amefungua na kuendesha kikao kazi cha Kamati Tendaji ya Mradi wa Green and Smart Cities Programme ambacho awali...

MHE.DKT SAMIA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA RAIS WA JAMHURI YA FINLAND MHE.ALEXANDER STUBB.

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA CHUO KIKUU RUAHA.

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa viongozi wa Mikoa kwa kushirikiana na Taasisi mbalimbali za misitu na utafiti kuanzisha bustani za mimea zinakazosaidia kutoa fursa kwa vijana kutafiti na kutengeneza dawa zitakazowasaidia watanzania.  Makamu wa Rais ametoa rai hiyo wakati wa Maadhimisho ya Miaka Ishirini ya Chuo Kikuu Katoliki Ruaha...

MAJALIWA ATETA NA WAZIRI MKUU WA CÔTE D’IVOIRE

0

_▪️Wakubaliana kuanzishwa kwa Jukwaa la Wafanyabiashara_ WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d'Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan. Akitoa ufafanuzi mara baada ya kikao hicho jana jioni (Jumanne, Mei 13, 2025), Waziri Mkuu Majaliwa alisema...

INEC YAHIMIZA WANANCHI MIKOA 16 KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI AWAMU YA PILI.

0

Na Mwandishi wetu, Pwani TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wananchi kutoka mikoa 16 ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar wanaokwenda kuanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu yapili kujitokeza kuboresha taarifa zao pamoja na kutazama daftari la awali la Wapiga Kura lililobandikwa katika vituo walivyotumia kujiandikisha au kuboresha taarifa zao hap[o awali. Hayo yamesemwa leo Mei 14,...