WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA KUHIFADHI DATA NIDC MIKOCHENI

0

Matukio mbalimbali katika picha ya yakionesha Mhe. Kassim Majaliwa(Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo alipotembelea Kituo cha Kuhifadhi Data Kimtandao (NIDC) kwa lengo la kuangalia Mfum wa N- CARD unavyofanya kazi. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu alikaribishwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa. Aidha ziara hiyo imewashirikisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu...

BENKI YA CRDB YAWAKARIBISHA WANAHISA KWENYE MKUTANO WA 30.

0

Arusha 14 Mei 2025 - Benki ya CRDB imewataka wanahisa wake kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa, unaotarajiwa kufanyika Jumamosi, tarehe 17 Mei 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya mafanikio tangu kuanzishwa kwa benki hiyo. Taarifa hiyo imetolewa leo katika mkutano na...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 15-2025.

0

http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 15-2025.

TANZANIA, MOROCCO KUONGEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

0

http://TANZANIA, MOROCCO KUONGEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI Matumizi ya teknolojia kupewa kipaumbele Sekta ya Nishati Morocco wampongeza Rais Samia kwa usimamizi bora Sekta ya Nishati Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Morocco wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa...

TANZANIA, MOROCCO KUONGEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

0

Matumizi ya teknolojia kupewa kipaumbele Sekta ya Nishati Morocco wampongeza Rais Samia kwa usimamizi bora Sekta ya Nishati Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Morocco wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini. Hayo yamebainishwa na...

NAIBU KATIBU MKUU AENDESHA KIKAO KAZI KATI YA SERIKALI NA UMOJA WA ULAYA.

0

Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya Na OR – TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu (ELIMU) Ofisi ya Rais TAMISEMI, Atupele Mwambene akimwakilisha Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Adolf Ndunguru kama Mwenyekiti wa Kamati Tendaji, amefungua na kuendesha kikao kazi cha Kamati Tendaji ya Mradi wa Green and Smart Cities Programme ambacho awali...