WANAFUNZI KIBUGUMO WASHIRIKI ‘MAHAKAMA KIFANI YA WATOTO’ IKIWA NI SEHEMU YA KAMPENI YA USALAMA BARABARANI

0

Mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Kibugumo ya Kigamboni, Mohamed Abubakari Muhidin (13), wa kwanza kulia, akimhoji mmojawapo wa dereva aliyekamatwa nje ya barabara karibu na shule hiyo katika ‘Mahakama Kifani ya Watoto’ kwa kukiuka alama za barabarani ikiwa ni sehemu ya kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’ inayoendeshwa na kampuni ya Puma Energy Tanzania na...

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA MEI 16-2025

0

                                    

WCF WAANIKA MAFANIKIO YAO MIAKA 4 YA Dkt.SAMIA, WAADHIMISHA MIAKA 10 YA UTOAJI HUDUMA

0

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), umefanikiwa kuwalipa fidia wafanyakazi na wategemezi wao 19,650 waliopata madhira mbalimbali ikiwemo ajali, kuugua au kufariki kutokana na Kazi. Hayo yameelezwana na  Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Dkt. John Mduma, akizungumzia mafanikio ya WCF yaliyopatikana ndani ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, kagika kikao kazi na Wahariri wa Vyombo vya habari,  kilichofanyika leo Mei...

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA KUHIFADHI DATA NIDC MIKOCHENI

0

Matukio mbalimbali katika picha ya yakionesha Mhe. Kassim Majaliwa(Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo alipotembelea Kituo cha Kuhifadhi Data Kimtandao (NIDC) kwa lengo la kuangalia Mfum wa N- CARD unavyofanya kazi. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu alikaribishwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa. Aidha ziara hiyo imewashirikisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu...

BENKI YA CRDB YAWAKARIBISHA WANAHISA KWENYE MKUTANO WA 30.

0

Arusha 14 Mei 2025 - Benki ya CRDB imewataka wanahisa wake kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa, unaotarajiwa kufanyika Jumamosi, tarehe 17 Mei 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya mafanikio tangu kuanzishwa kwa benki hiyo. Taarifa hiyo imetolewa leo katika mkutano na...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 15-2025.

0

http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 15-2025.