HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 18_2025.

0

http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 18_2025.

TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA SH. BILIONI 185 KUTOKA CHINA

0

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Che Mingjian, wakitia saini Mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kuwa Kituo cha...

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

0

_▪️Awataka wasanii wawekeze zaidi katika sanaa ili kuongeza wigo wa ajira_ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema sekta ya utamaduni na Sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa wasanii na Taifa, kuongeza fursa za ajira, kurasimisha kazi za sekta sambamba na kuimarisha maadili ya jamii. Waziri Mkuu ametoa wito kwa wasanii nchini waweke kipaumbele cha kuwekeza mapato yatokanayo na kazi zao...

RAIS SAMIA ASHIRIKI ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA CHAMWINO DODOMA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma ambapo pia aliwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari hilo.

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MEI 17-2025.

0

http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MEI 17-2025.

DKT. MPANGO AZINDUA SHULE YA SEKONDARI YA MFANO YA BENKI YA CRDB,BENKI HIYO IKITIMIZA MIAKA 30.

0

Arusha 16 Mei 2025 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, amezindua rasmi Shule ya Sekondari ya Mfano ya Benki ya CRDB, itayojengwa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya Benki ya CRDB. Shule hiyo ya kisasa ni matokeo ya dhamira ya Benki hiyo...