CHAMA CHA MAPINDUZI NI NGUZO PEKEE YA KUWAUNGANISHA WATANZANIA
http://CHAMA CHA MAPINDUZI NI NGUZO PEKEE YA KUWAUNGANISHA WATANZANIA Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa leo Desemba 22, 2024 ni Mgeni Rasmi kwenye mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Jimbo Busega, unaofanyika katika viwanja vya...
YANGA YAICHAPA TANZANIA PRISONS KWA BAO 4 – 0.
YANGA leo imeendelea wimbi la ushindi baada ya kuifumua Tanzania Prisons kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku Prince Dube akitupia bao moja na kumfanya afikishe matano kupitia mechi tatu mfululizo zikiwamo mbili za ligi na mojua ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Watetezi hao walipata ushindi kwenye Uwanja wa KMC Complex, ikiwa ni wa pili mfululizo tangu...
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 19,530 MKOANI SINGIDA
*Wananchi 3,255 kila wilaya ya mkoa huo kunufaika* Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA); kuanzia tarehe 20 Januari, 2025 itaanza kusambaza mitungi ya gesi ya kilo 6 mkoani Singida ili kusaidia Wananchi kutumia nishati hiyo kwa ajili ya kupikia. Hayo yamesemwa leo, tarehe 22 Desemba, 2024 na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Bi...
DKT. KAZUNGU ATEMBELEA MIRADI YA UMEME DAR ES SALAAM
http://DKT. KAZUNGU ATEMBELEA MIRADI YA UMEME DAR ES SALAAMNi ya Uzalishaji na Usafirishaji umeme *Lengo ni kuhakikisha uwepo wa umeme wa uhakika Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu ametembelea miradi mbalimbali ya uzalishaji na usafirishaji umeme inayoendelea kwa lengo la kufahamu utekelezaji wa miradi hiyo na maendeleo yake leo tarehe 21 Desemba, 2024 jijini Dar es Salaam. Pamoja...
TASAF YAKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA AFYA UPENJA, KASKAZINI UNGUJA ZANZIBAR
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF umekamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya Upenja katika Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kazkazini Unguja, Visiwani Zanzibar. Kituo hicho kimezinduliwa rasmi leo jumapili Tarehe 22.12.2024 na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya...