HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 24,DISEMBA 2024.
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 24,DISEMBA2024. http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 24,2024.
NIA NJEMA YA RAIS SAMIA IUNGWE MKONO KULETA MAENDELEO KWA WATANZANIA -DKT BITEKO.
* Dkt. Biteko ampongeza Mbunge Kiswaga kwa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini ikiwemo...
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWATAKA WANANCHI WA DAR KUTEMBEA NA VITAMBULISHO
Na Sophia Kingimali. MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa rai kwa wananchi wa mkoa huo kutembea na vitambulisho ili kurahisisha utambuzi wao katika matukio ya dharura huku akiwataka kusheherekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya kwa utulivu na amani pasipo kuvunja sheria wala kusababisha taharuki itakayopelekea kuharibu utulivu na amani iliyopo. Wito huo ameutoa leo wakati akizungumza...
GRIDI ZA TANZANIA NA KENYA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI – MHA. GISSIMA NYAMO-HANGA
*Awahimiza wataalamu kusimamia zoezi la kuziunganisha Gridi za Tanzania na Kenya kwa umakini bila kuathiri upatikanaji wa umeme kwenye mfumo wa Gridi ya umeme Nchini* *Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP* Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za...
WAZIRI CHANA AMUAPISHA KAMISHNA UHIFADHI NCAA, AMPA MAAGIZO MAZITO
Na Happiness Shayo- Karatu Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana amemuapisha na kumvisha cheo cha kijeshi Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, CC Dkt. Elirehema Joshua Doriye huku akimtaka kuitumia nafasi hiyo kuonesha utendaji uliotukuka na wenye tija kwa maslahi ya Watanzania wote. Hayo yamejiri katika hafla ya kuvishwa cheo na kuapishwa...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 23,DISEMBA 2024.
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 23,DISEMBA 2024.