SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA CRDB JIJINI DODOMA
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 04, 2021.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai awaongoza Waheshimiwa Wabunge katika futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 04, 2021Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Mkurugenzi...
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA KATIKA FUTARI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Ibadhi Mtemani Wete Pemba.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na...
WAKULIMA KUNUFAIKA NA NHIF KUPITIA CRDB
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakibadilishana mkataba baada ya kusaini makubaliano ya kuhudumia wakulima kupata bima ya afyaMkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakisaini mkataba wakishuhudiwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dk. Benson Ndiege Mkurugenzi...
RAIS SAMIA AHUTUBIA MABUNGE MAWILI YA KENYA ( BUNGE LA KENYA NA BUNGE LA SENETI) JIJINI NAIROBI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya kwa pamoja Jijini Nairobi leo tarehe 05, Mei, 2021. ...
KUTOKA MAGAZETINI ASUBUHI YA LEO J.TANO MEI-5 2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
WIZARA YA AFYA YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE KUHUSU MAGONJWA YA KIFUA KIKUU NA UKOMA1
NA: WAMJW-DODOMA.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo imetoa mafunzo kwa wabunge wa Bunge la Tanzania kuhusiana na magonjwa ya Kifua Kikuu na Ukoma ili kuwajengea uwezo na uelewa kuhusu magonjwa haya mawili yanayosumbua jamii.Akiongea wakati ufunguzi wa mafunzo hayo, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amesema Wajumbe...