TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA UALIMU SERIKALINI 2021

0

 Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR -TAMISEMI) imepata kibali cha ajira za Watumishi wa Kada mbalimbali za Afya 2,726 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati pamoja na Walimu 6,949 wa Shule za Msingi na Sekondari watakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.Kwa sababu hiyo, wahitimu kutoka...

PROFESA MDOE AWAKARIBISHA WATANZANIA KUJIFUNZA MBINU BORA ZA KILIMO BANDA LA TARI DODOMA.

0

DODOMA.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. James E Mdoe, amewataka wananchi jijini Dodoma kuendelea kutembelea banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) ili kuweza kupata elimu juu ya kilimo bora cha mazao mbalimbali yanayoratibiwa na vituo vyote vya TARI nchini.Prof.Mdoe ameyesema hayo alipotembelea banda la TARI ili kuoneshwa na kujifunza teknolojia mbalimbali zinazozalishwa...

BRELA YAWATAKA WABUNIFU KUSAJILI VUMBUZI ZAO.

0

Afisa Mwandamizi- Utumishi na Utawala kutoka Idara ya Miliki Ubunifu BRELA, Bw Raphael Mtalima akifafanua juu ya sifa za Uvumbuzi unaoweza kusajiliwa kama Hataza kupitia BRELA wakati wa mashindano ya MAKISATU yanayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. BRELA inawakaribisha kutembelea kwenye banda lake katika mashindano ya MAKISATU yaliyoanza tarehe 6 hadi 11 Mei, 2021DODOMA.WAKALA wa Usajili wa...

MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA WA TABORA WAZINDULIWA.

0

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geofrey Mwambe pamoja na viongozi alioambata nao wakionesha kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji kwa Mkoa wa Tabora mara baada ya uzinduzi rasmi.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya KilimoTanzania (TADB), Japhet Justine akitoa salamu za ofisi yake wakati wa uzinduzi huo.Sehemu ya Wajumbe wakifuatilia uwasilishwaji wa mada...

KUANZISHWA KWA KIWANDA CHA KUSAFISHA MADINI CHA GGR KUCHANGAMSHA UCHUMI WA GEITA-WAZIRI BITEKO

0

Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akisisitiza jambo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini cha GGR wakati akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Geita, tarehe 8 Mei 2021. (Picha Zote Na Mathias Canal)Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe Mhandisi Gabriel...

FIDIA UWANJA WA NDEGE MSALATO NA BARABARA YA MZUNGUKO KULIPWA HIVI KARIBUNI

0

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi, Dkt. Leonard Chamuriho, akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, mara baada ya kufanya ziara ya kukagua ujenzi wa barabara ya mzunguko ya jiji la Dodoma kwa njia nne (Km112.3) pamoja na eneo utakapojengwa Uwanja wa Ndege  wa Msalato hivi karibuni, jijini Dodoma. ...