WALIOULA MIKOPO NGAZI YA DIPLOMA HADHARANI
Na: Mwandishi Wetu, Dar Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa majina ya wanufaika wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya Stashahada (Diploma) walioomba kwenye dirisha la mwezi Machi, 2025. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dk. Bill Kiwia, kupitia Taarifa yake kwa Umma, Mei 05, 2025, ameeleza kuwa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.94...
WAZIRI KABUDI AITAMBULISHA RASMI BODI YA ITHIBATI BUNGENI
•Kuanza mwaka wa Fedha 2025/26 kwa mafunzo Na Mwandishi Wetu, JAB. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameitambulisha rasmi Bungeni Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) na kubainisha kwamba katika kutekeleza majukumu yake kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 itaanza kwa kutoa mafunzo kupitia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari. Waziri Kabudi ametoa utambulisho huo leo...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MAY 8-2025.
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MAY 8-2025.
PUMA ENERGY TANZANIA YAKABIDHI ZAWADI SHINDANO LA UCHORAJI KAMPENI YA USALAMA BARABARANI MASHULENI
Afisa mnadhimu wa Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi (SACP) Butusyo Mwambelo, akimkabidhi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ufukoni, Jackson Masamaki, cheti na fedha Sh. 500,000 baada kuibuka mshindi katika mashindano ya kuchora picha zenye ujumbe wa usalama barabarani, zilizotolewa na Puma Energy Tanzania kupitia Kampeni ya Usalama Barabarani mashuleni, katika shule hiyo,...
WAZIRI KABUDI AITAMBULISHA RASMI BODI YA ITHIBATI BUNGENI
Kuanza Mwaka wa fedha 2025/26 kwa mafunzo. Na Mwandishi Wetu, JAB Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameitambulisha rasmi Bungeni Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) na kubainisha kwamba katika kutekeleza majukumu yake kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 itaanza kwa kutoa mafunzo kupitia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari. Waziri Kabudi ametoa utambulisho huo leo...
RAIS SAMIA ATANGAZA SIKU 7 ZA MAOMBOLEZO KIFO CHA MZEE MSUYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. David Cleopa Msuya kilichotokea leo tarehe 07 Mei, 2025 katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo. Taarifa zaidi ya Mipango kamili ya msiba itaendelea kutolewa na...