KUANZISHWA KWA KIWANDA CHA KUSAFISHA MADINI CHA GGR KUCHANGAMSHA UCHUMI WA GEITA-WAZIRI BITEKO
Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akisisitiza jambo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini cha GGR wakati akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Geita, tarehe 8 Mei 2021. (Picha Zote Na Mathias Canal)Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe Mhandisi Gabriel...
FIDIA UWANJA WA NDEGE MSALATO NA BARABARA YA MZUNGUKO KULIPWA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi, Dkt. Leonard Chamuriho, akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, mara baada ya kufanya ziara ya kukagua ujenzi wa barabara ya mzunguko ya jiji la Dodoma kwa njia nne (Km112.3) pamoja na eneo utakapojengwa Uwanja wa Ndege wa Msalato hivi karibuni, jijini Dodoma. ...
RAIS MHE.SAMIA SULUHU AMKABIDHI NYUMBA MPYA YA KUISHI RAIS MSTAAFU DKT.JAKAYA KIKWETE KWA MUJIBU WA SHERIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi Nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa sheria leo tarehe 09 Mei, 2021.Rais...
MKURUGENZI TAMWA ZANZIBAR YATAKA KUTAZAMWA HALI YA USAWA WA KIJINSIA KWA WANAHABARI VISIWANI
Na: Muhammed Khamis TAMWA ZNZ.Wakati Dunia na Tanzania kwa ujumla ikiwa bado katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari Mkuruenzi wa TAMWA-Zanzibar Dkt,Mzuri Issa amesema maadhimisho hayo yanapaswa pia kutazamwa hali ya usawa wa kijinsia kwa wanahabari visiwani hapa kwa kuwa bado wapo baadhi ya wanahabari wanawake wamekua wakikabiliwa na majaribu ya rushwa na ngono wanapoomba ajira.Aliyasema hato...
SERIKALI YAZINDUA SAFARI ZA ATCL KENDA GUOGHZOU CHINA.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamriho akikata utepe pamoja na Dk. Omary Mbura Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya ATCL na Mkurugenzi wa Shirika la Ndege la ATCL Mhandisi Ladslaus Matindi wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi rasmi wa safari za ndege za shirika hilo kutoka Dar es salaam Tanzania kwenda katika jiji la Guangzhou nchini China ambazo...
RAIS SAMIA AZINDUA KITABU CHA HISTORIA YA MAISHA YA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MZEE ALI HASSAN MWINYI JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kukizindua katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Mei, 2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...