VICHWA VYA HABARI VILIVYOTAWALA MAGAZETI YA LEO J.NNE MEI 4-2021

0

Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

RC KUNENGE AZINDUA KAMPENI YA “USIPIME NGUVU YA MAJi”.

0

DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abubakar Kunenge  amezindua kampeni ya "Usipime Nguvu ya Maji" leo tarehe 03 Mei,2021 kwa kuwataka wananchi wa Mkoa huo kuchukua tahadhari ya Mafuriko ya Maji yaendayo kasi.Akiongea  na Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya Habari Mhe. Mkuu wa Mkoa amesema Kufuatia utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) juu ya...

TAMKO LA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA (THBUB) SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI 2021

0

LEO Mei 3, 2021, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote duniani kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani.Siku hii ya kimataifa ilitangazwa rasmi na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Disemba 1993, kufuatia pendekezo la Mkutano Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la...

MAZAO YA KILIMO HAI YANA UHAKIKA WA SOKO

0

 Mratibu wa Mkakati wa Vijana Kushiriki kwenye kilimo toka Wizara ya Kilimo Bw. Revelian Ngaiza (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa SAT Bi. Janet Maro (kushoto) wakitazama mti wa karafuu ulipondwa na kikundi cha vijana Tugende Morogoro Vijijini wanazalisha mazao ya viungo kwa njia ya kilimo hai.Sehemu ya vijana wanachama wa vikundi vya Tugende na...

SHILINGI MILIONI 250 KUKAMILISHA MABOMA MATANO YA ZAHANATI SINGIDA

0

Na: Maiko LuogaSerikali imepanga kutumia Shilingi milioni 250 katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mkoani Singida ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wananchi katika kujenga na kuboresha miundombinu ya kutolea huduma za afya.Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI...

VIJANA 2,563 WAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO HAI DODOMA

0

  Sehemu ya vijana waliojiunga katika vikundi kuzalisha mazao kwa njia ya kilimo hai kijiji cha Nzari wilaya ya Chamwino chini ya uratibu wa shirika la Kilimo Endelevu (SAT) wakiwa kwenye picha na wataalam wa Wizara ya Kilimo hivi karibuni.Mratibu wa Mkakati wa Vijana Kushiriki kwenye kilimo toka Wizara ya Kilimo Bw. Revelian Ngaiza...