VIONGOZI WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUPAMBANA NA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE
Mkuu wa Mkoa wa kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akiongea na Viongozi wa Mkoa, Wilaya na Halmashauri wakati wa kikao kazi cha uraghibishaji na uhamasishaji wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele kwenye Mkoa huo ambacho kiliwajumlisha Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa halmashauri,Waganga Wakuu wa Wilaya, Maofisa Elimu wa halmashauri pamoja na waratibu wa magonjwa Yaliyokuwa hayapwi Kipaumbele kwenye Hamashauri hizo.Wakuu...
HABARI PICHA:RAIS SAMIA ALIPOONDOKA JIJINI DODOMA NA KUWASILI NCHINI KENYA, LEO
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye Ndege ya Tanzania baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi leo, kuanza ziara ya siku mbili nchini Kenya, akiwa nchini humo atakutana na kufanya mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, pia atahutubia Mabunge mawili ya Kenya na kuhutubia Mkutano wa Wafanyabiashara.Rais wa Tanzania...
VICHWA VYA HABARI VILIVYOTAWALA MAGAZETI YA LEO J.NNE MEI 4-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
RC KUNENGE AZINDUA KAMPENI YA “USIPIME NGUVU YA MAJi”.
DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abubakar Kunenge amezindua kampeni ya "Usipime Nguvu ya Maji" leo tarehe 03 Mei,2021 kwa kuwataka wananchi wa Mkoa huo kuchukua tahadhari ya Mafuriko ya Maji yaendayo kasi.Akiongea na Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya Habari Mhe. Mkuu wa Mkoa amesema Kufuatia utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) juu ya...
TAMKO LA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA (THBUB) SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI 2021
LEO Mei 3, 2021, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote duniani kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani.Siku hii ya kimataifa ilitangazwa rasmi na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Disemba 1993, kufuatia pendekezo la Mkutano Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la...