SERIKALI YAZINDUA SAFARI ZA ATCL KENDA GUOGHZOU CHINA.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamriho akikata utepe pamoja na Dk. Omary Mbura Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya ATCL na Mkurugenzi wa Shirika la Ndege la ATCL Mhandisi Ladslaus Matindi wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi rasmi wa safari za ndege za shirika hilo kutoka Dar es salaam Tanzania kwenda katika jiji la Guangzhou nchini China ambazo...
RAIS SAMIA AZINDUA KITABU CHA HISTORIA YA MAISHA YA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MZEE ALI HASSAN MWINYI JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kukizindua katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Mei, 2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
THBUB YAMPONGEZA MHE. RAIS SAMIA KWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 5000.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora (THBUB) Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu akizzungumza na waandishi wa habari Na: Hughes Dugilo.Tume ya Haki za Binaadamu na utawala Bora (THBUB) imempongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kufuatia msamaha alioutoa kwa wafungwa 5'001 waliokuwa wakikabiliwa na vifungo mbalimbali.Katika taarifa yake iliyotolewa Mei 8,2021...
YANGA YAWEKA MSIMO KUSOGEZWA MUDA WA MCHEZO WAO NA SIMBA.
DAR ES SALAAM.Klabu ya SC imesema haitambui Mabadiliko ya muda wa mchezo wao na Watani wao wa Jadi Simba unaochezwa leo kutoka saa 11 Jioni hii hadi saa moja usiku, anaripoti Mwandishi Diramakini. Taarifa fupi ya Yanga kwa Vyombo vya habari imesema wao watapeleka timu kama ratiba inavyosema saa kumi na moja na kulitaka Shirikisho la soka la TFF, liheshimu...
JAMII YAKUMBUSHWA UMUHIMU WA KUWA NA BIMA KATIKA NYANJA MBALIMBALI.
Afisa Mtendaji mkuu wa Sanlam Life insurance limeted & Sanlam general insurance, wa katikati Bwana Julius Magabe akiongea na waandishi wa habari.Na Richard MrushaWito umetolewa kwa jamii kujiunga na huduma za Bima mbalimbali kwani zinaumuhimu mkubwa Sana kwa mustakabali wa Maisha yao ya kila siku.Wito huo umetolewa na Afisa Mtendaji mkuu wa Sanlam Life Insurance Tanzania Limited & Sanlam...