ZAIDI YA WANANCHI ELFU 27 WAPATIWA ELIMU KUHUSU UBORA WA BIDHAA KWENYE WILAYA YA KILOSA,MKINGA NA BAGAMOYO.
WANAFUNZI wa shule za Msingi na Sekondari 15,526 na wananchi 12,250 wanaoendesha shughuli zao kwenye maeneo yenye mikusanyiko mikubwa ya watu, kama stendi, kwenye masoko, minada,magulio katika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Kilosa, mkoani Morogoro, Bagamoyo mkoani Pwani na Mkinga, Tanga wamepewa elimu kuhusiana na umuhimu wa kutumia bidhaa zilizothibitishwa ubora na kusajiliwa...
MZEE PINDA, RC MAHENGE WAONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA UPANDAJI MITI ZUZU, DODOMA
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda akiongoza kupanda miti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupanda miti 10,000 katika Kata ya Zuzu, mkoni Dodoma leo Mei 15,2021. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa Mteule wa Singida, Dkt. Binilith Mahenge akiungana na Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji...
PROF.MKUMBO ATEMBELEA KITUO CHA WMA MISUGUSUGU MKOA WA PWANI
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof.Kitila Mkumbo (Kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) mkoa wa Pwani kuhusu namna zoezi la kuhakiki mita za maji linavyofanyika mara baada ya kutembelea leo Kituo cha Wakala wa Vipimo (WMA) Misugusugu Mkoa Pwani. ...
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKIPIGA KURA UCHAGUZI DOGO JIMBO LA BUHIGWE.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akipiga Kura ya katika Kituo cha kupiga kura Polling Station Wilayani Buhigwe MKoani Kigoma leo Mei 16,2021 kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Buhigwe.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akipiga Kura ya katika...
MAGAZETI YA LEO J.PILI MEI 16-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
LEICESTER CITY YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA FA ENGLAND YAICHAPA 1-0 CHELSEA
LONDON.TIMU ya Leicester City imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea jana Uwanja wa Wembley Jijini London, Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee dakika ya 63, kiungo Mbeligiji, Youri Tielemans akimalizia kazi nzuri ya beki wa England, Luke Thomas. ...