MWENENDO WA UREJESHAJI MIKOPO KWENYE HALMASHAURI UNARIDHISHA -DKT.DUGANGE.
OR - TAMISEMI Serikali kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema mwenendo wa urejeshaji wa mikopo yote iliyotolewa kwa vikundi vya wanawake, wajasiliamali, watu wenye ulemavu na vijana kabla ya Aprili 2023 ni wenye kuridhisha na Serikali imeendelea kusimamia ili kuhakikisha pesa yote iliyokopeshwa inarejeshwa. Hayo yamesemwa leo Mei 08, 2025 bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais -...
DKT. BITEKO AHIMIZA BARA LA AFRIKA KUSHIRIKIANA SEKTA YA ELIMU
Asema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa elimu * Asema Afrika lazima iendelee kuimarisha mazingira wezeshi kwa kampuni bunifu za kidigitali Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wadau wa elimu barani Afrika kuendeleza mkakati na ushirikiano utakaowezesha mageuzi ya kidigitali katika sekta ya elimu. Dkt. Biteko ametoa...
DKT. NCHIMBI, WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM WASIMAMA KWA DAKIKA MOJA KWA AJILI YA HESHIMA KWA HAYATI MSUYA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwaongoza Wajumbe wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kusimama kimya kwa dakika moja, kwa ajili ya heshima ya Hayati Mzee David Cleopa Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia aliwahi kuwa Mjumbe wa Kamati...
KAMPUNI YA MAMBA MINERALS KUANZA UJENZI WA MGODI WA MADINI ADIMU DISEMBA 2025 KIJIJI CHA NGWALA-SONGWE
▪️Ni mgodi wa uchimbaji wa madini adimu(Rare Earth Elements) ▪️Uzalishaji wa kwanza ni mwaka 2026 mwishoni ▪️Kiwanda cha Kusafisha Madini na kuongeza thamani madini kujengwa Songwe ▪️Rais Samia apongenzwa mazingira wezeshi ya uwekezaji *Dodoma* Kampuni ya Mamba Minerals Ltd yenye Leseni ya uchimbaji Madini adimu (Rare Earth Elements) imesema itaanza ujenzi rasmi wa Mgodi huo Disemba,2025 na uzalishaji wa kwanza kufanyika mwisho wa...
RAIS WA MSUMBIJI MHE.DANIEL CHAPO APOKELEWA NA RAIS SAMIA IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025. Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
NYONGEZA YA MSHAHARA ASILIMIA 35.1, UTHIBITISHO WA RAIS SAMIA KUWAJALI WAFANYAKAZI
Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Kila ifikapo Tarehe 01 Mei ya kila mwaka, huadhimishwa Siku ya Wafanyakazi Duniani. Kila nchi huadhimisha siku hii kwa utaratibu wake, muhimu ni kufanya tafakuri ya hoja za wafanyakazi ili hoja hizo zifike katika mamlaka husika ziweze kutatuliwa kwa ustawi wa wafanyakazi na maendeleo ya nchi. Hapa nchini, kwa mwaka huu wa 2025, maadhimisho ya Siku...