BUPE MWAKANG’ATA ACHUKIZWA NA WIZI KATIKA MRADI WA MAJI NKASI, AITAKA WIZARA KUCHUKUA HATUA KALI

0

DODOMA.Serikali imetakiwa kuchukua hatua kwa wezi wanaopelekea miradi ya maji hususani mradi wa Kabwe uliopo katika jimbo la Nkasi kutokukamilika kwa wakati licha ya serikali kutumia gharama kubwa ya fedha kuanzisha miradi na kuiendesha.Hayo yamesemwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang’ata katika swali lake la nyongeza kwa wizara ya Maji, leo bungeni, jijini Dodoma.Licha ya...

MAGAZETI YA LEO J.TANO MEI 26-2021..

0

 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

RC MAKALLA AAGIZA JESHI LA POLISI KUTOKOMEZA UJAMBAZI DAR, AWATAKA WAHALIFU KUJISALIMISHA NA SILAHA ZAO MARA MOJA.

0

DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam kuhakikisha linawashughulikia kikamilifu Majambazi na Vibaka Jijini humo huku akiwataka kujisalimisha na kukabidhi Silaha zao kwa hiyari.RC Makalla ameagiza kuanza kwa Operesheni ya kufagia watu wote wanaofanya Vitendo vya uhalifu Jijini humo ambapo amesema ni vyema pia...

NAIBU WAZIRI MALIASILI NA UTALII AWATAKA WAFANYAKAZI WA WIZARA HIYO KUONGEZA UBUNIFU.

0

(Picha ya  waziri Maktaba) Naibu Waziri Maliasili na Utalii Mhe: Mary MasanjaMwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi wizara ya maliasili na utalii Dkt Allan Kijazi ambaye pia ni Katibu mkuu wa wizara hiyo akiongea na waandishi wa habari baada ya kufungwa kwa kikao cha 28 cha baraza la wafanyakazi la wizara hiyo.NA: NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.Naibu waziri wa wizara ya maliasili...

HOSPITALI MIRACOLO SEGEREA KUPIMA AFYA BURE

0

NA:HERI SHAABAN, DAR ES SALAAM.HOSPITALI ya Miracolo inatarajia kutoa matibabu ya afya bure kwa wakazi Jimbo la Segerea Wilayani Ilala siku ya Jumamosi Mei 29 mwaka huu Matibabu hayo ya afya bure kwa magonjwa mbalimbali yanatarajia kuanza SAA mbili asubuhi hadi SAA kumi jioni  kituo cha dalaadala Segerea.Akizungumza na waandishi wa habari janaMratibu wa shughuli hiyo Dkt.Bingwa wa Watoto wa...

MAGAZETI YA LEO J.NNE MEI 25-2021.

0

 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana