HEDHI ISIWE CHANZO CHA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA.
Na: WAMJW-DodomaImebainishwa kuwa hedhi salama inatakiwa kuzingatiwa na msichana au Mwanamke ili kuepuka maambukizi ya magonjwa.Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Mwanaidi Khamis kwa niaba ya Waziri Dkt. Dorothy Gwajima katika kilele cha maadhimisho ya siku ya hedhi salama duniani ambayo yamefanyika jijini Dodoma.Naibu Waziri huyo amesema lengo kuu...
WAJASIRIAMALI WENGI HAWANA MAWAZO MAPYA YA KIBIASHARA KUTOKANA NA KURIDHIKA NA WANACHOKIUZA: PROF. MJEMA
Mwenyekiti wa wakuu wa taasisi zilizomo ndani ya wizara ya viwanda na biashara ambaye pia Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara, Prof.Emmanuel Mjema akizungumza na waandishi katika ziara yake mkoani Arusha.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kuhudumia viwanda vidogo Tanzania,Silivester Mpanduji akiongea na waandishi wa habari Mkoani Arusha.Meneja wa SIDO Mkoa wa Arusha Bi.Nina Nchimbi akiongea na waandishi wa...
MKUTANO WA AFYA WA DUNIA WAJADILI UMUHIMU WA KUIMARISHA MIFUMO YA NDANI YA NCHI KATIKA KUKABILIANA DHIDI YA MAGONJWA.
Na: WAMJW- DOM. Wataalamu wa Afya wa nchi 194 wamejadili namna ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya ndani ya utoaji wa huduma za Afya ili kuzisaidia nchi wanachama kuwa tayari katika kukabiliana dhidi ya magonjwa mbali mbali ikiwemo magonjwa ya mlipuko. Hayo yamejadiliwa katika Mkutano wa 74 wa Afya Duniani unaoendelea kupitia njia ya mtandao wenye lengo la kujadili mikakati mbali...
WAFAMASIA DAWA ZOTE ZITOLEWE KWA CHETI
DAR ES SALAAMWaziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Dkt Dorothy Gwajima, amewaelekeza wanataaluma wa kada ya famasi nchini kuhakikisha dawa zote zinatolewa kwa cheti cha dawa.Dkt.Gwajima ameyasema hao jana jijini Dar es Salama wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa wataalam wa famasi nchini.Akimuelekeza mfamasia Mkuu wa Serikali katika mkutano huo, Dkt Gwajima amesema cheti...
WAZEE WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA BORA ZA AFYA.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Ali Khamis akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo jijini Dodoma, Dkt. Alphonce Chandika, alipofika kwa ajili ya kukagua namna huduma za wazee zinavyotolewa katika hospitali hiyo.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anayeshughulikia Maendeleo...