RAIS SAMIA AAGANA NA RAIS WA MSUMBIJI CHAPO.
http://RAIS SAMIA AAGANA NA RAIS WA MSUMBIJI CHAPO. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2025.
RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI
http://RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi Akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume amepokelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mheshimiwa Hamza Hassan Juma pamoja...
MAJALIWA AHANI MSIBA WA MHE. CLEOPA DAVID MSUYA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Mei 8, 2025 amehani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Cleopa David Msuya, Upanga Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na wanafamilia pamoja na waombolezaji wengine, Mheshimiwa Majaliwa, amewasihi kuendelea kumuombea Mhe. Msuya na wawe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu. Marehemu Cleopa Msuya alifariki Mei 07, 2025 katika hospitali ya...
SIMBA SC 5 – 1 PAMBA JIJI FC
Timu ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC imeibuka mshindi kwa kuipigiza timu ya Pamba Jiji FC magoli 5-1 katika mchezo wa ligi kuu, uliopigwa katika Dimba la KMC Comlex jijini Dar es Salaam.