WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA MAZISHI YA VIONGOZI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 09, 2025 ameongoza Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Hayati Cleopa David Msuya kilichofanyika katika Ofisi ya ndogo za Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam. http://WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA MAZISHI...
MHE- DKT.MWIGULU NCHEMBA AHANI MSIBA WA DAVID CLEOPA MSUYA.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amefika kuhani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, na ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (1973–1975) na Waziri wa Fedha na Uchumi (1986–1989), Hayati David Cleopa Msuya, nyumbani kwake Upanga Jijini Dar es salaam. Akizungumza na familia...
RAIS SAMIA AAGANA NA RAIS WA MSUMBIJI CHAPO.
http://RAIS SAMIA AAGANA NA RAIS WA MSUMBIJI CHAPO. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2025.
RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI
http://RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi Akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume amepokelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mheshimiwa Hamza Hassan Juma pamoja...