RC CHALAMILA AZINDUA MPANGO WA KUFANYA BIASHARA SAA 24 WILAYA YA UBUNGO
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amezindua mpango wa ufanyaji biashara kwa saa 24 kwenye soko la Mbezi eneo la stendi ya Malamba Mawili wilayani Ubungo na kuwahakikishia usalama wafanyabiashara huku akiwataka maafisa biashara kutowaonea wafanyabiashara Akizungza wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam katika uzinduzi huo uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye soko la mbezi...
DKT. BITEKO ASHIRIKI TULIA MARATHON MBEYA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa mchango wake katika sekta za afya na elimu sambamba na kusaidia wahitaji jijini Mbeya. “ Dkt. Tulia anafanya kazi kubwa kwenye sekta ya afya na elimu...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 10-2025.
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 10-2025.
MAKALLA: CHANGAMOTO ZA BARABARA ULANGA NA MALINYI ZITAFANYIWA KAZI.
*•Akiri kupokea changamoto za barabara, Maji, Umeme na maombi ya hospitali ya Wilaya ya Ulanga* *ULANGA:* Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla amesema pamoja na mafanikio ya miradi mingi ya maendeleo amepokea changamoto za barabara, miradii maji kuchelewa, mawasiliano na kukatiika katika kwa umeme kwenye Wilaya ya Ulanga Malinyi Pia amesema anakiri kupokea...
KAPINGA AZINDUA KITUO MAMA CHA GESI ASILIA JIJINI DAR ES SALAAM
Ni cha Pili kwa ukubwa barani Afrika; Cha Kwanza kwa ukubwa EAC *Kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku *Ampongeza Dkt. Samia kutatua changamoto za wananchi kwa vitendo *Aipongeza TPDC; Ataka Vituo vya CNG kuendelea kujengwa Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa...
WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA MAZISHI YA VIONGOZI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 09, 2025 ameongoza Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Hayati Cleopa David Msuya kilichofanyika katika Ofisi ya ndogo za Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam. http://WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA MAZISHI...